\p \v=20 \v~=Akawajibu, \wj “Ni mmoja miongoni mwenu ninyi kumi na wawili, yule anayechovya mkate kwenye bakuli pamoja nami.\wj* \¬v