\p \v=23 \v~=Kisha akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, nao wote wakanywa kutoka humo. \¬v \¬p