\p \v=30 \v~=Yesu akamwambia, \wj “Amin, nakuambia; leo, usiku huu, kabla jogoo hajawika mara mbili, wewe mwenyewe utanikana mara tatu.”\wj* \¬v \¬p