\v=36 \v~=Akasema, “\tl \+wj Abba,\+wj*\tl*\f + \fr 14:36 \fq Abba \ft ni neno la Kiaramu ambalo maana yake ni \fqa Baba\fqa*; ni mtoto wa kuzaa tu angeweza kulitumia kwa baba yake.\f* \wj Baba, mambo yote yawezekana kwako. Niondolee kikombe hiki. Lakini si kama nipendavyo mimi, bali vile upendavyo wewe.”\wj* \¬v \¬p