\p \v=41 \v~=Akaja mara ya tatu, akawaambia, \wj “Bado mmelala na kupumzika? Imetosha! Saa imewadia. Tazameni, Mwana wa Adamu anasalitiwa na kutiwa mikononi mwa wenye dhambi.\wj* \¬v