\v=45 \v~=Mara Yuda akamjia Yesu na kusema, “Rabi.”\f + \fr 14:45 \ft \+tl Rabi\+tl* ni neno la Kiebrania ambalo maana yake ni daktari, mwalimu au bwana. Walikuwa na madaraja matatu: La chini kabisa \+tl Rab\+tl* (bwana), la pili \+tl Rabi\+tl* (bwana wangu), na la juu kabisa \+tl Raboni\+tl* (mkuu wangu, bwana wangu mkuu).\f* Akambusu. \¬v