\v=5 \v~=Mafuta haya yangeweza kuuzwa kwa zaidi ya dinari\f + \fr 14:5 \ft Dinari 300 ni sawa na mshahara wa kibarua wa siku 300.\f* 300, na fedha hizo wakapewa maskini.” Wakamkemea vikali huyo mwanamke. \¬v \¬p