\p \v=55 \v~=Viongozi wa makuhani na Baraza la Wayahudi\f + \fr 14:55 \fq Baraza la Wayahudi \ft hapa ina maana ya \fqa Sanhedrin \ft ambalo lilikuwa ndilo baraza la juu kabisa la utawala wa Kiyahudi, lililoundwa na wazee 70 pamoja na kuhani mkuu.\f* lote wakatafuta ushahidi dhidi ya Yesu ili wapate kumuua. Lakini hawakupata jambo lolote. \¬v