\p \v=62 \v~=Yesu akajibu, \wj “Mimi ndimi. Nanyi mtamwona Mwana wa Adamu akiwa ameketi mkono wa kuume wa Mwenye Nguvu, na akija juu ya mawingu ya mbinguni.”\wj* \¬v \¬p