\p \v=72 \v~=Papo hapo jogoo akawika mara ya pili. Ndipo Petro akakumbuka lile neno Yesu alikuwa amemwambia: \wj “Kabla jogoo hajawika mara mbili, utanikana mara tatu.”\wj* Akavunjika moyo, akalia sana. \¬v \¬p \¬c