\p \v=15 \v~=Akawaambia, \wj “Enendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.\wj* \¬v