\v=14 \v~=Alipokuwa akitembea, akamwona Lawi mwana wa Alfayo ameketi forodhani mahali pa kutoza ushuru, akamwambia, \wj “Nifuate.”\wj* Lawi akaondoka, akamfuata Yesu. \¬v \¬p