\p \v=19 \v~=Yesu akawajibu, \wj “Wageni wa bwana arusi wawezaje kufunga wakati angali pamoja nao? Wakati bwana arusi bado yuko pamoja nao, hawawezi kufunga.\wj* \¬v