\p \v=25 \v~=Yesu akawajibu, \wj “Je, hamjasoma kamwe alivyofanya Daudi wakati yeye na wenzake walikuwa na njaa, wakahitaji chakula?\wj* \¬v