\p \v=27 \v~=Kisha Yesu akawaambia, \wj “Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, lakini si mwanadamu kwa ajili ya Sabato.\wj* \¬v