\p \v=8 \v~=Mara moja Yesu akatambua rohoni mwake kile walichokuwa wanawaza mioyoni mwao, naye akawaambia, \wj “Kwa nini mnawaza hivyo mioyoni mwenu?\wj* \¬v