\p \v=22 \v~=Walimu wa sheria walioteremka kutoka Yerusalemu walisema, “Amepagawa na Beelzebuli!\f + \fr 3:22 \ft Beelzebuli kwa Kiyunani ni Beelzebubu, yaani mkuu wa pepo wachafu.\f* Anatoa pepo wachafu kwa kutumia mkuu wa pepo wachafu!” \¬v \¬p