\v=28 \v~=\wj Amin, nawaambia, dhambi zote na makufuru yote ya wanadamu watasamehewa.\wj* \¬v