\p \v=4 \v~=Kisha Yesu akawauliza, \wj “Je, ni lipi lililo halali siku ya Sabato: Ni kutenda mema au kutenda mabaya? Ni kuokoa maisha au kuua?”\wj* Lakini wao wakanyamaza kimya. \¬v \¬p