\p \v=5 \v~=Yesu akawatazama pande zote kwa hasira, akahuzunika sana kwa ajili ya ugumu wa mioyo yao. Akamwambia yule mtu mwenye mkono uliopooza, \wj “Nyoosha mkono wako.”\wj* Akaunyoosha, nao ukaponywa kabisa! \¬v