\v=11 \v~=Naye akawaambia, \wj “Ninyi mmepewa kujua siri ya Ufalme wa Mungu. Lakini kwa wale walioko nje, kila kitu husemwa kwao kwa mifano,\wj* \¬v