\p \v=30 \v~=Ghafula Yesu akatambua kuwa nguvu zimemtoka. Akaugeukia ule umati wa watu na kuuliza, \wj “Ni nani aliyegusa mavazi yangu?”\wj* \¬v \¬p