\v=41 \v~=Akamshika mtoto mkono, akamwambia, \tl \+wj “Talitha koum!”\+wj*\tl* \f + \fr 5:41 \fq Talitha koum \ft ni lugha ya Kiaramu.\f* (maana yake ni, \wj “Msichana, nakuambia: amka!”\wj*) \¬v