\v=10 \v~=Akawaambia, \wj “Mkiingia kwenye nyumba yoyote, kaeni humo hadi mtakapoondoka katika mji huo.\wj* \¬v