\v=3 \v~=Huyu si yule seremala, mwana wa Maria? Na ndugu zake si Yakobo, Yose,\f + \fr 6:3 \ft Yosefu kwa Kiyunani ni Joses.\f* Yuda na Simoni? Dada zake wote si tuko nao hapa kwetu?” Nao wakachukizwa sana kwa ajili yake, wakakataa kumwamini. \¬v \¬p