\v=31 \v~=Basi kwa kuwa watu wengi mno walikuwa wakija na kutoka, hata wakawa hawana nafasi ya kula, Yesu akawaambia wanafunzi wake, \wj “Twendeni peke yetu mahali pa faragha, mpate kupumzika.”\wj* \¬v \¬p