\p \v=4 \v~=Yesu akawaambia, \wj “Nabii hakosi heshima isipokuwa katika mji wake mwenyewe, na miongoni mwa jamaa na ndugu zake, na nyumbani kwake.”\wj* \¬v