\p \v=8 \v~=Akawaagiza akisema, \wj “Msichukue chochote kwa ajili ya safari isipokuwa fimbo tu. Msichukue mkate, wala mkoba, wala fedha kwenye mikanda yenu.\wj* \¬v