\p \v=17 \v~=Yesu, akifahamu majadiliano yao, akawauliza: \wj “Mbona mnajadiliana kuhusu kutokuwa na mikate? Je, bado hamtambui wala hamwelewi? Je, mbona mioyo yenu ni migumu kiasi hicho?\wj* \¬v