\v=23 \v~=Yesu akamshika mkono huyo kipofu akampeleka nje ya kijiji. Baada ya kuyatemea mate macho ya yule kipofu na kumwekea mikono, Yesu akamuuliza, \wj “Unaona chochote?”\wj* \¬v \¬p