\p \v=34 \v~=Ndipo akauita ule umati wa watu pamoja na wanafunzi wake, akasema, \wj “Mtu yeyote akitaka kunifuata, ni lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate.\wj* \¬v