\p \c#=9 \v=1 \v~=Yesu akaendelea kuwaambia, \wj “Amin, nawaambia, kuna watu waliosimama hapa ambao hawataonja mauti kabla ya kuuona Ufalme wa Mungu ukija kwa nguvu.”\wj* \¬v \¬p