\p \v=19 \v~=Yesu akawaambia, \wj “Enyi kizazi kisicho na imani! Nitakuwa pamoja nanyi mpaka lini? Nitawavumilia mpaka lini? Mleteni mvulana kwangu.”\wj* \¬v \¬p