\v=25 \v~=Yesu alipoona kwamba umati wa watu unakusanyika pamoja mbio, akamkemea yule pepo mchafu, akimwambia, \wj “Wewe pepo bubu na kiziwi, nakuamuru umtoke, wala usimwingie tena!”\wj* \¬v \¬p