\p \v=35 \v~=Akaketi chini, akawaita wote kumi na wawili, akawaambia: \wj “Kama mtu yeyote akitaka kuwa wa kwanza, hana budi kuwa wa mwisho na mtumishi wa wote.”\wj* \¬v \¬p