\p \v=3 \v~=Hawa ndio viongozi wa majimbo waliokuja kuishi Yerusalemu (baadhi ya Waisraeli, makuhani, Walawi, watumishi wa Hekalu,\f + \fr 11:3 \ft Yaani \fqa Wanethini\fqa* (pia 11:21).\f* na wazao wa watumishi wa Solomoni waliendelea kuishi katika miji ya Yuda, kila mmoja katika milki yake mwenyewe katika miji mbalimbali, \¬v