\v=31 \v~=Baada yake Malkiya, mmoja wa masonara, alifanya ukarabati mpaka kwenye nyumba za watumishi wa Hekalu\f + \fr 3:31 \ft Yaani \fqa Wanethini\fqa*.\f* na wafanyabiashara, mkabala na Lango la Ukaguzi, hadi kufikia chumba kilicho juu ya pembe. \¬v