\pm \v=70 \v~=Baadhi ya viongozi wa jamaa walichangia kazi ya ujenzi. Mtawala alikabidhi kwenye hazina darkoni 1,000\f + \fr 7:70 \ft Darkoni 1,000 za dhahabu ni sawa na uzito wa kilo 8.6.\f* za dhahabu, mabakuli 50, na mavazi 530 kwa ajili ya makuhani. \¬v