\v=71 \v~=Baadhi ya viongozi wa jamaa walikabidhi kwenye hazina darkoni 20,000 za dhahabu,\f + \fr 7:71 \ft Darkoni 20,000 za dhahabu ni sawa na kilo 172.\f* na mane 2,200\f + \fr 7:71 \ft Mane 2,200 za fedha ni sawa na kilo 1,300.\f* za fedha kwa ajili ya kazi hiyo. \¬v \¬pm