\nb \c#=8 \v=1 \v~=watu wote wakakusanyika kama mtu mmoja kwenye uwanja mbele ya Lango la Maji. Wakamwambia Ezra mwandishi alete Kitabu cha Sheria ya Mose, ambacho \nd Bwana\nd* aliamuru kwa ajili ya Israeli. \¬v \¬p