\p \v=10 \v~=Nehemia akasema, “Nendeni mkafurahie chakula kizuri na vinywaji vitamu, na mpeleke sehemu kwa wale ambao hawana chochote cha kula. Siku hii ni takatifu kwa \nd Bwana\nd*. Msihuzunike, kwa kuwa furaha ya \nd Bwana\nd* ni nguvu zenu.” \¬v \¬p