\v=6 \v~=Ezra akamsifu \nd Bwana\nd*, Mungu mkuu, nao watu wote wakainua mikono yao na kuitikia, “Amen! Amen!” Kisha wakasujudu na kumwabudu \nd Bwana\nd* hali nyuso zao zikigusa ardhi. \¬v \¬p