\p \v=9 \v~=Ndipo Nehemia aliyekuwa mtawala,\f + \fr 8:9 \ft Au \fqa Tirshatha\fqa*: jina la heshima aliloitwa mtawala wa Yuda chini ya Ufalme wa Uajemi.\f* Ezra kuhani na mwandishi, pamoja na Walawi waliokuwa wakiwafundisha watu wakawaambia wote, “Siku hii ni takatifu kwa \nd Bwana\nd* Mungu wenu. Msiomboleze wala msilie.” Kwa kuwa watu wote walikuwa wakilia walipokuwa wakisikiliza maneno ya ile Sheria. \¬v \¬p