\v=3 \v~=Wakasimama pale walipokuwa, wakasoma kutoka kwenye kile Kitabu cha Sheria ya \nd Bwana\nd* Mungu wao kwa muda wa robo siku, na wakatumia robo nyingine kwa kuungama dhambi na kumwabudu \nd Bwana\nd* Mungu wao. \¬v