\v=4 \v~=Walawi wafuatao walikuwa wamesimama kwenye ngazi: Yeshua, Bani, Kadmieli, Shebania, Buni, Sherebia, Bani na Kenani. Hawa walimlilia \nd Bwana\nd* Mungu wao kwa sauti kubwa. \¬v