\p \v=33 \v~=Hivyo waliondoka kutoka mlima wa \nd Bwana\nd*, nao wakasafiri kwa siku tatu. Sanduku la Agano la \nd Bwana\nd* liliwatangulia kwa zile siku tatu ili kuwatafutia mahali pa kupumzika. \¬v