\v=9 \v~=Wakati mtakapopigana vita katika nchi yenu wenyewe dhidi ya adui anayewaonea, piga tarumbeta kwa mlio wa kujulisha hatari. Ndipo utakumbukwa na \nd Bwana\nd* Mungu wenu na kuokolewa kutoka kwa adui zenu. \¬v