\p \v=10 \v~=Mose akasikia watu wa kila jamaa wakilia, kila mmoja kwenye mlango wa hema lake. \nd Bwana\nd* akakasirika mno, naye Mose akafadhaika. \¬v