\p \v=18 \v~=“Waambie hao watu: ‘Jiwekeni wakfu wenyewe kwa ajili ya kesho, wakati mtakapokula nyama. \nd Bwana\nd* aliwasikia mlipolia, mkisema, “Laiti tungekuwa na nyama tule! Tulikuwa na hali nzuri zaidi katika nchi ya Misri!” Sasa \nd Bwana\nd* atawapa nyama, nanyi mtaila. \¬v