\p \v=24 \v~=Kwa hiyo Mose akatoka na kuwaambia watu lile ambalo \nd Bwana\nd* alikuwa amesema. Akawakusanya wazee wao sabini, akawasimamisha kuzunguka Hema. \¬v